Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics

Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics



 Verse 1]

Atakaye kuwa na wema 
Ahitajie kuheshimiwa 
Basi aende ayatafute kwa 
kutenda mema bila kusita 
Asiyajali macho ya watu 
Maana yao sio muhimu 
Bali ajali jina nimuitalo 
Kwani mi ni Mungu aliyemuumba

Atakaye kuwa na wema 
Ahitajie kuheshimiwa 
Basi aende ayatafute kwa 
kutenda mema bila kusita 
Asiyajali macho ya watu 
Maana yao sio muhimu 
Bali ajali jina nimuitalo 
Kwani mi ni Mungu aliyemuumba.

 

[Chorus]
Ninayajua yangu malengo 
Ni mema sio mabaya 
Ili niwape matumaini ya siku zijazo 
Nawapenda 

Wambieni wenye huzuni 
Tulizeni wenye majelaha 
Wambieni waje waone 
Tuna Mungu mwingi wa upendo

Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa 
Katuosha na kutusafisha 
Akatuahidi uzima wa milele.

 

[Verse 2]
Simameni kwenye mnara, 
usubiri ntakacho kisema 
Zizuieni sauti za muovu 
Na upende kuwa mwenye haki

Nenda omba tena uombe 
Tofautisha kuomba kwako, 
Maana hapo nitakuokoa 
Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako

Nenda omba tena uombe 
Tofautisha kuomba kwako, 
Maana hapo nitakuokoa 
Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako.

 

[Chorus]
Ninayajua yangu malengo 
Ni mema sio mabaya 
Ili niwape matumaini ya siku zijazo 
Nawapenda 

Wambieni wenye huzuni 
Tulizeni wenye majelaha 
Wambieni waje waone 
Tuna Mungu mwingi wa upendo

Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa 
Katuosha na kutusafisha 
Akatuahidi uzima wa milele.

 

Ninayajua yangu malengo 
Ni mema sio mabaya 
Ili niwape matumaini ya siku zijazo 
Nawapenda 

Wambieni wenye huzuni 
Tulizeni wenye majelaha 
Wambieni waje waone 
Tuna Mungu mwingi wa upendo

Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa 
Katuosha na kutusafisha 
Akatuahidi uzima wa milele.

 

Ninayajua yangu malengo 
Ni mema sio mabaya 
Ili niwape matumaini ya siku zijazo 
Nawapenda 

Wambieni wenye huzuni 
Tulizeni wenye majelaha 
Wambieni waje waone 
Tuna Mungu mwingi wa upendo

Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa 
Katuosha na kutusafisha 
Akatuahidi uzima wa milele.

 

Wambieni wenye huzuni 
Tulizeni wenye majelaha 
Wambieni waje waone 
Tuna Mungu mwingi wa upendo

Wambieni wenye huzuni 
Tulizeni wenye majelaha 
Wambieni waje waone 
Tuna Mungu mwingi wa upendo

Wambieni wenye huzuni 
Tulizeni wenye majelaha 
Wambieni waje waone 
Tuna Mungu mwingi wa upendo.

End of Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics


Israel Mbonyi – Biography
Early Life and Background
Israel Mbonyicyambu, popularly known as Israel Mbonyi, is a Rwandan gospel singer, songwriter, and worship leader. He was born on May 20, 1992, in the Democratic Republic of Congo (DRC), but his family later settled in Rwanda after the genocide. Growing up in a Christian home, he developed a strong passion for music and a desire to serve God through worship from a young age.
Education
Mbonyi pursued his education in Rwanda and is also trained as a medical doctor. Despite his background in medicine, he chose to dedicate himself fully to music ministry, which has since made him one of the most prominent gospel artists in East Africa.
Music Career
Israel Mbonyi is celebrated for his soulful, spirit-filled worship songs sung mostly in Kinyarwanda, Swahili, and English. His music blends contemporary gospel with African worship sounds, creating a unique style that resonates widely.
He gained prominence with his debut songs in the early 2010s and has since become one of Rwanda’s leading gospel voices. His songs are widely used in churches and personal devotion across Africa.
Notable Albums
Number One (2014)
Intashyo (2017)
Umusirikare (2020)
Mbwira (2022)
Popular Songs
Some of his well-known songs include:
Ndakubabariye
Nkwiye Kuba
Karame
Nina Siri
Baho
Umusirikare
Number One
Ministry
Israel Mbonyi is more than a singer; he is a worship leader whose ministry draws large crowds in Rwanda and internationally. His concerts, such as the annual Iserukiramuco ry’Ubuhanzi bwa Gikristo (Christian Arts Festival), attract thousands of worshippers.
Awards and Recognition
Named one of the top gospel artists in Rwanda multiple times.
Winner of Best Gospel Artist of the Year at several Rwandan music awards.
Recognized regionally in East Africa for his outstanding contribution to gospel music.
Personal Life
Israel Mbonyi keeps his personal life private and focuses primarily on his ministry.
Impact and Legacy
Mbonyi has become one of the most influential gospel artists in East and Central Africa. His music has crossed borders, inspiring millions with messages of hope, repentance, and God’s love. His ability to combine African worship with contemporary sounds has made him a leading voice in global gospel music.

Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics


Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics
Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics
Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics
Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics
Israel Mbonyi – Malengo Ya Mungu Lyrics

Other lyrics


Kunaka Kwenyu lyrics By Minister Michael Mahendere


E lagbara lyrics By Toluwanisings


Siqonda Ekhaya/Yebo Bakithi lyrics By Phindi P


Olórun Ni Yi – Omotosho Oluwafemi (Aksfemzy) Lyrics


Ada Ehi – Gallant Lyrics


OUR MISSION

Our MISSION is to spread the gospel through the promotion

of Gospel music, Ministries, Music concerts and more.


The idea to support and promote Music Events,

Church Revivals and similar activities

within the Christian faith is what we share


*COPYRIGHT DISCLAIMER*

We do not own the Lyrics for any of the songs or the images featured on this website.

All Lyrics rights belong to its original owner/owners.

No copyright infringement is intended.

We STRONGLY advice you purchase tracks from outlets provided by the original owners

Contents here are for promotional purposes only.


Please Add a comment below if you have any suggestions

Thank you & God Bless you!

All Song Lyrics are the property and Copyright of the Original Owners


Songs and Images here are For Personal and Educational Purpose only

Search This Blog