Neema Gospel Choir - Permanent Lyrics
Are you ready to receive
Permanent Blessings Tonight?
For the blessings you have
Received tonight are no
Longer temporary there
Permanent praise Jesus
Nani kaona yale mambo
Mungu Baba kanitendea
Nani kaona yale mambo
Mungu Baba kanitendea
Nani kaona yale mambo
Mungu Baba kanitendea
Nani kaona yale mambo
Mungu Baba kanitendea
Kanifanya niimbe
Mbele ya adui nivimbe
Niko sure na huyu mzee
Kanitendea
Kanifanya niimbe
Mbele ya adui nivimbe
Niko sure na huyu mzee
Kanitendea
Amesema yuko nami wala siogopi
Maana he is on my side
Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini
Ni mtetezi wangu Permanent
Yeeih Yeeih
Amesema yuko nami wala siogopi
Maana he is on my side
Baraka zake ni kwa wingi ninamuamini
Ni mtetezi wangu Permanent
Yeeih Yeeih
Baba kasema nisihofu
Yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Baba kasema nisihofu
Yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Baba kasema nisihofu
Yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Baba kasema nisihofu
Yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
We don't stop
Tumefunga naye mkataba
Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga
Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena
Tena tena tena tena
Oooh hatutanyang'anywa tena
Tena tena
Tumefunga naye mkataba
Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga
Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena
Tena tena tena tena
Oooh hatutanyang'anywa tena
Tena tena
Nimeshikika kwake
Sitachomoka kwake
Permanent permanent
Nimeshikika kwake
Sitachomoka kwake
We don't stop
Baba kasema nisihofu
Yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Yeeih Yeeih
Baba kasema nisihofu
Yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Baba kasema nisihofu
Yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Yeeih Yeeih
Baba kasema nisihofu
yuko nami tena nisifadhaike
Mkataba wa baraka
Ni Permanent
Praise Jesus
Tumefunga naye mkataba
Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga
Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena
Tena tena tena tena
Oooh hatutanyang'anywa tena
Tumefunga naye mkataba
Baraka sisi Mungu anatupaga
Ulinzi wake tu unatoshaga
Haki zetu anapiganiaga
Oooh hatutanyang'anywa tena
Tena tena
Oooh hatutanyang'anywa tena
hatutanyang'anywa tena
Asanteni sana
Mungu awabariki sana
End of Neema Gospel Choir - Permanent Lyrics
Neema Gospel Choir is a gospel music choir based in Dar es Salaam, Tanzania. They minister under the Africa Inland Church Tanzania (AICT), particularly at Chang’ombe in Temeke.
The choir was started in 1992 by six members with a single keyboard. Since then, they have grown significantly, now comprising dozens of members and using professional musical instruments.
Mission & Vision
Their driving mandate is preaching the Gospel of Jesus Christ through music and worship. They lean on Mark 16:15 (“Go into all the world and preach the gospel to all creation”) as part of their guiding scripture.
They seek not only to produce excellent music, but also to help with spiritual growth among their members and in communities, strengthen discipline, creativity, and build meaningful relationships with people.
What They Do & Their Impact
Neema Gospel Choir performs at church services, concerts, community events, outreach programs, and charity work.
They record songs, produce live worship videos, and release singles and albums.
They engage in social impact, including supporting orphans, street children, offering spiritual counseling, and partnering with various community development efforts.
Recognition & Recent Highlights
They’ve won several awards, including Best Choir of the Year – East Africa and multiple awards at the Tanzania Gospel Music Awards (TGMA), for songs like “Nikurejeshee” among others.
Their music has gained large viewership online; some of their live videos are widely watched.
In recent years they’ve released singles like Dhahabu (Live) and others.
Style & Musical Characteristics
Their sound combines traditional gospel with contemporary elements. They do live recordings with strong vocal harmonies, full choirs, often integrating local languages (Swahili) in their lyrics.
Their performances tend to be vibrant and uplifting, focusing on praise, worship, exhortation, and inspiring hope.

Neema Gospel Choir - Permanent Lyrics
Neema Gospel Choir - Permanent Lyrics
Neema Gospel Choir - Permanent Lyrics
Neema Gospel Choir - Permanent Lyrics
Neema Gospel Choir - Permanent Lyrics
Other lyrics
Sans Toi lyrics - Melchi kembo
Lyrics: Honestly, We Just Need Jesus
Turn Around lyrics - Enkay Ogboruche
Season's Reason ft. Naffymar, TBabz & Tjsarx Lyrics - Noel mio
OUR MISSION
Our MISSION is to spread the gospel through the promotion
of Gospel music, Ministries, Music concerts and more.
The idea to support and promote Music Events,
Church Revivals and similar activities
within the Christian faith is what we share
*COPYRIGHT DISCLAIMER*
We do not own the Lyrics for any of the songs or the images featured on this website.
All Lyrics rights belong to its original owner/owners.
No copyright infringement is intended.
We STRONGLY advice you purchase tracks from outlets provided by the original owners
Contents here are for promotional purposes only.
Please Add a comment below if you have any suggestions
Thank you & God Bless you!
All Song Lyrics are the property and Copyright of the Original Owners
Songs and Images here are For Personal and Educational Purpose only