SISI NI WALE lyrics - phina
The melanin queen..
Chorus:-
Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
Sisi ni wale tuliosaidiwa , ah na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
Verse1
Sina hela, sina pesa ,sina doh
Sina nyumba, sina gari, sina ooh
Kila kukikucha mi naiwaza kesho
Napiga moyo konde nitafika ooh
Wanaokudharau leo,
watakusalimiea kesho
(Kwa heshima)
Wanaokusema sema,
watakusifia kesho
Unaokula nao
Na kucheka nao (oh)
Kesho ukidondoka
Hutokua nao
Piga moyo konde
Wakati wa Mungu
Wakati sahihi hi hi
Piga moyo konde
Wakati wa baba
Wakati sahihi hi hi
Chorus:-
(Sisi ni wale)
Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
Sisi ni wale tuliosaidiwa , ah na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
Verse 2
Jana niliumwa
Nikadhani nitakufa
Leo niko fiti ukinicheki
Nadundika
Nilipoachishwa kazi
Walidhani nitasota
Leo nipo juu ile kibosi
Nadundika
Kama unaamini
Umesaidiwa na Mungu
Piga kelele, kelele moja (eh)
Kelele mbili (eh, eh)
(Eh, eh)
Kama unaamini
umesaidiwa na Mungu eeh
Piga kelele, kelele moja (eh)
Kelele mbili (eh, eh)
(Eh, eh)
Chorus:-
Sisi ni wale tuliosaidiwa na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
Sisi ni wale tuliosaidiwa , ah na Mungu
Sisi ndo wale tuliobarikiwa na baba
End of SISI NI WALE lyrics - phina
SISI NI WALE lyrics - phina
SISI NI WALE lyrics - phina
SISI NI WALE lyrics - phina
SISI NI WALE lyrics - phina
Other lyrics
The Lord’s Prayer By Matt Maher & TAYA mp3 download and lyrics
Confidence – Wale Ajala lyrics and mp3 download
Download Mp3: Paul Tomisin & Peterson Okopi – Spontaneous Worship
HANNAH SHAIBU – THANK YOU LORD Lyrics
Sweetest Name Remix – Benjamin Banor ft. Min Benjamin Israel
OUR MISSION
Our MISSION is to spread the gospel through the promotion
of Gospel music, Ministries, Music concerts and more.
The idea to support and promote Music Events,
Church Revivals and similar activities
within the Christian faith is what we share
*COPYRIGHT DISCLAIMER*
We do not own the Lyrics for any of the songs or the images featured on this website.
All Lyrics rights belong to its original owner/owners.
No copyright infringement is intended.
We STRONGLY advice you purchase tracks from outlets provided by the original owners
Contents here are for promotional purposes only.
Please Add a comment below if you have any suggestions
Thank you & God Bless you!
All Song Lyrics are the property and Copyright of the Original Owners
Songs and Images here are For Personal and Educational Purpose only