James and Daniella – Imba Ee Roho Yangu Lyrics

James and Daniella – Imba Ee Roho Yangu Lyrics  Chorus]

Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana.

 

Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana.

 

Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana.

 

[Verse 1]
Roho zilizokufa 
Zikakuona, Zafufuliwa 
hapa zinaimba,
Umejulikana kila mahali 

Sifa ziwe kwako,
Mwana Kondoo wa Mungu 

Fadhili zako
Zimejulikana kila mahali.

 

Roho zilizokufa 
Zikakuona, Zafufuliwa 
hapa zinaimba,
Umejulikana kila mahali 

Sifa ziwe kwako,
Mwana Kondoo wa Mungu 

Fadhili zako
Zimejulikana kila mahali.

 

Sifa ziwe kwako,
Mwana Kondoo wa Mungu 

Fadhili zako
Zimejulikana kila mahali

 

[Chorus]
Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana.

 

Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana.

 

Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana.

 

[Verse 2]

Inashangaza nimeokolewa 
Natumaini rehema za milele 
Hallelujah, Hallelujah
Umejulikana kila mahali.

 

[Chorus]
Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana.

 

Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana.

 

[Bridge]
Hallelujah, Hallelujah
Imba ee Roho yangu 

Hallelujah Hallelujah
Moyo msifu bwana

Hallelujah, Hallelujah
Imba ee Roho yangu 

Hallelujah Hallelujah
Moyo msifu bwana.

 

Hallelujah, Hallelujah
Imba ee Roho yangu 

Hallelujah Hallelujah
Moyo msifu bwana

Hallelujah, Hallelujah
Imba ee Roho yangu 

Hallelujah Hallelujah
Moyo msifu bwana.

 

Hallelujah, Hallelujah
Imba ee Roho yangu 

Hallelujah Hallelujah
Moyo msifu bwana

 

[Chorus]
Imba roho yangu
Umebarikiwa imba ee roho 

Mpaka dhoruba
Ya maisha imeisha 

Moyo msifu Bwana

 

Hallelujah, Hallelujah
Imba ee Roho yangu 

Hallelujah Hallelujah
Moyo msifu bwana

End of James and Daniella – Imba Ee Roho Yangu LyricsJames and Daniella – Imba Ee Roho Yangu Lyrics

James and Daniella – Imba Ee Roho Yangu Lyrics

James and Daniella – Imba Ee Roho Yangu Lyrics

James and Daniella – Imba Ee Roho Yangu Lyrics

James and Daniella – Imba Ee Roho Yangu Lyrics

James and Daniella – Imba Ee Roho Yangu Lyrics